Mwenye taaluma ya Hotel Management

Mwenye taaluma ya Hotel Management

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,853
Reaction score
140,975
Wakuu kwa yeyote mwenye taaluma hiyo at least cheti na anasaka kazi ani-pm kuna ishu burdan nimpatie.Awe wa kiume
 
mm nnayo mkuu ila sijui ku pm labla unambie ntume cv wapi
 
mm nnayo mkuu ila sijui ku pm labla unambie ntume cv wapi

mkuu pm manake ni private message.. kuna sehemu mkono wako wa kushoto chini imeandikwa send PM, ni message tu unaandika kama kawaida inamfikia huyo unaemwandikia... thats the meaning of ku-pm kama inavyotumiwa na watu humu!
 
Natafuta kazi jamani nisaidieni nipo arusha..mi ni ke
 
Back
Top Bottom