Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,651
- 3,827
Habari zenu wana JF.
Mimi nina degree ya Political Science and Public Administration ila Ajira bado ni zoezi gumu, sasa kuna jamaa alinishauri kusoma baadhi ya short courses kuwa zinarahisisha suala la upatikanaji wa ajira.
Sasa nlikua nahitaji msaada ni short courses gani naweza kusoma ili nirahisishe hili zoezi. Jamaa alinishauri nikasome Fire fighting ila naona kama haina soko kihivyo.
Ushauri wenu ni muhimu, ahsanteni