Nina Diploma ya Law

Nina Diploma ya Law

Kama unaomba kazi kwa hiyo diploma basi badili mawazo or soma kitu kingine. Vinginevyo chukua degree. Diploma ya sheria zama hizi HAINA ISHU tena. Itakusaidia tu kwenye kuapply chuo kama equivalent qualifications. Kwenye sheria siku hizi kila muajiri anataka bachelor tena uwe umepitia law school. So kama bado una ndoto za kufanya kazi kama legal practitioner nenda shule, hakuna mbadala.
 
Back
Top Bottom