Nafasi za Akiba Commercial Bank

Nafasi za Akiba Commercial Bank

Joined
Dec 13, 2012
Posts
18
Reaction score
6
Habari wana JF.

Kuna nafasi za loan officer zilitangazwa humu karibuni. Na application inafanyika online via recruitment@acbtz.com but kila nikituma application inakataa kwenda.

Naomba msaada wenu.
 
beba cv zako nenda pale makumbusho wapatie kaka, wengine tumeamua kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom