Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,089
- 15,071
Kama kuna Civil Engineers kutoka UDSM inbox me ur number fasta....aliyegraduate between 2011 na 2013.....
Wahi fasta nafasi ni 4 tu.......
Wahi fasta nafasi ni 4 tu.......
Hatutaki kazi sisi, tunafungua makampuni yetu
Post closed jamaa wa 4 washani PM
Thanks
acha udaku
Hao investors wa wapi wanakutuma wewe utangaze hapa Jf.We unadhani Engineering ni kama maji unachota tu mtoni.Toa matangazo rasmi sio kuchukulia taaluma za watu kirahisrahis.Sitashangaa kukuta wewe ni mzururaji nchini kwako huna kazi.
hatutaki kazi sisi, tunafungua makampuni yetu
Pole na udaku
hacha uongo. Hata kampuni inahitaji kupata kazi: Contracts/sub contracts, kupata order za kazi mbalimbali, au kazi za consultancy. Tofauti na hivyo labda hiyo kampuni ni ya kumuhudumia mke/mume wako kitandani.