Nafasi za Kazi Tume ya Mahakama

Nafasi za Kazi Tume ya Mahakama

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
wadau nataka kuandika barua ya maombi kupitia kwa katibu tawala wa wilaya. ombi langu mnisaidie katibu tawala kwa kingereza na tume ya utumishi wa mahakama inaitwaje kwa kingereza, nataka niandike barua yangu lwa kingereza.
 
kwani hilo tangazo limetolewa kwa lugha ipi? kama kiswahili liandike kwa kiswahili hivyo hivyo na kama ni kingreza andika kwa kingreza!
 
tume ya utumishi wa mahakama-judicial service commission,unaweza ku-google for further confirmation
 
wadau nataka kuandika barua ya maombi kupitia kwa katibu tawala wa wilaya. ombi langu mnisaidie katibu tawala kwa kingereza na tume ya utumishi wa mahakama inaitwaje kwa kingereza, nataka niandike barua yangu lwa kingereza.

Wote hawajui kiinglishi. Andika kiswahili tuu Mkuu.
 
katibu tawala wapo mara mbili wa wilaya na wa mkoa,kama ifuatavyo
katibu tawala wa wilaya=District Administrative Secretary(DAS)
Katibu Tawala wa Mkoa= Regional Administrative Secretary(RAS)
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
=Judicial Service Commission
 
Back
Top Bottom