0652436216
Natafuta kijana wa kuuza bucha la samaki, awe anakaa mitaa ya mbagala.
-kazi yake itakua kupima na kuuzia watu samaki
-kutafuta masoko kwa wateja wa jumla
-kufuata mzigo mabibo pale inapolazimika kufanya hivyo.
Sifa za kijana anaetakiwa
-mchapa kazi na mwenye kujituma
-mwenye uchu na mafaniko
-mwenye nidhamu
-anaejua mahesabu na vipimo
-wakazi wa mbagala watapewa kipaumbele
Mshahara:biashara ndio inakuwa, malipo tutazungumza na bidii yako ni muhimu zaidi ili kunishawishiwi nikuongezee mshahara