Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

Joined
Dec 12, 2012
Posts
69
Reaction score
14
Kwa anaye fahamu hili naomba anielewesha tafadhali.

Hivi kwa mtu mwenye level ya elimu ya post graduate diploma au masters mishara yao ni sawa au tofauti?

Kwa anaye fahamu kwa kina zaidi naomba anieleweshe zaidi hasa kwenye taasisi za serikali na makampuni binafsi.
 
My friend it all depends with the skill set , one could either hold a masters non-relevant to a task and be paid less to one with a PGD relavant to a task. The issue of salary also depends on the quality of either qualification. The primary qualification is the experience and competence leading to either that will inform the pay scale.
 
nini sasa hii..!!?????

Wewe si KILAZA ndio maana huwezi jua. kama vip igilizia.Na hako ka elimu kako si umepata kwa kupiga chabo. Mzee wa kukopi na kupesti........................ni Bonge la kilaza hadi akili zimezeeka,,,,............
 
mimi nimeona umeweka thread ambayo hata mtoto wa darasa la kwanza anakujibu.Kuhusu suala la elimu usipende kutoa maneno yasiofaa kwa maana hapa hatujuani kijana.Elimu naweza nikawa nimekuzid au umenizidi maana nayo ina umuhimu kwenye maisha. Ila nimeona pia kuna uwalakini na shule yako maana post yako kwa mtu ambaye anaelimu hawezi post kitu ambacho kinajulikana.

Alafu Kuwa mstaarabu kijana huwezi muita kilaza mtu aliyetoka UDSM miaka mitano iliopita.

JAMAA KAKUJIBU VIZURI SANA HAPA.

''My friend it all depends with the skill set , one could either hold a masters non-relevant to a task and be paid less to one with a PGD relavant to a task. The issue of salary also depends on the quality of either qualification. The primary qualification is the experience and competence leading to either that will inform the pay scale.''

Shida yako wewe una dharau sana ndiyo maana mwenzako amekujibu hivyo. kama hujui kitu kaa kimya na kama unajua HUTAKI KUJIBU KAA KIMYA ACHA DHARAU MAMA/DADA/ MJOMBA/KAKA/SHANGAZI/BABA. HESHIMU KILA MTU NA MAWAZO YAKE. NO ONE IS PERFECT.

JAMAA KAKUJIBU VIZURI SANA HAPA.
 
Jamani naomba tusaidiane, kwa nafasi za ajira zilizotangazwa na serikali mwaka 2013 katka sekta ya kilimo zina ukweli wowote manake tangu mwaka 2012 hawajaajiri tu. Je na deni kubwa la nchi, na maandalizi makubwa ya kampeni zangazi mbalimbali serikalini, mnadhani kuna kuajiliwa hapa? Nasi tunapenda kujiajiri lakini mtaji imekuwa tatizo tafadhali jamani naomba mchango wa mawazo yenu
 
mimi nimeona umeweka thread ambayo hata mtoto wa darasa la kwanza anakujibu.Kuhusu suala la elimu usipende kutoa maneno yasiofaa kwa maana hapa hatujuani kijana.Elimu naweza nikawa nimekuzid au umenizidi maana nayo ina umuhimu kwenye maisha. Ila nimeona pia kuna uwalakini na shule yako maana post yako kwa mtu ambaye anaelimu hawezi post kitu ambacho kinajulikana.

Alafu Kuwa mstaarabu kijana huwezi muita kilaza mtu aliyetoka UDSM miaka mitano iliopita.

JAMAA KAKUJIBU VIZURI SANA HAPA.

''My friend it all depends with the skill set , one could either hold a masters non-relevant to a task and be paid less to one with a PGD relavant to a task. The issue of salary also depends on the quality of either qualification. The primary qualification is the experience and competence leading to either that will inform the pay scale.''
huyu mleta uzi kauliza swali la msingi sana, na tatizo la bongo tuna madharau na kujifanya tunajua kila kitu, kumbe hamna kitu, possibly hujaelewa kama kuna tofauti kati ya PGD na Masters, na kama umemnukuu huyo jamaa kwenye blue highlights kuwa kajibu vizuri, kilichokushinda wewe kujibu hivyo ni nini?, au ndo kuongeza idadi ya post zako....nonsense....jamaa alivyosema wewe ni kilaza nahisi hajakosea....suala la kusoma UDSM five years ago halina mashiko wala haliweza kukufanya usiwe kilaza, mbaya zaidi unikidharaulisha hicho chuo cha uma.
...................................................................................................................................................
 
Shida yako wewe una dharau sana ndiyo maana mwenzako amekujibu hivyo. kama hujui kitu kaa kimya na kama unajua HUTAKI KUJIBU KAA KIMYA ACHA DHARAU MAMA/DADA/ MJOMBA/KAKA/SHANGAZI/BABA. HESHIMU KILA MTU NA MAWAZO YAKE. NO ONE IS PERFECT.

JAMAA KAKUJIBU VIZURI SANA HAPA.

Toka ufanyiwe mchezo mchafu hapo nyuma bas umekuwa mjeur kupta maelezo,,,khah Triple G
 
Navyojua mimi PGD ni kama shahada ya kwanza kwa mtu ambaye anataka taaluma fulani na ana shahada ya kwanza ya fani tofauti. Kwa hiyo kimsingi mtu mwenye hiyo kitu ni sawa na mtu mwenye shahada ya kwanza. Pale Mlimani wanaosoma PGD ya Elimu hata vipindi huwa wanafanya na wanafunzi wa shahada ya kwanza.
 
Back
Top Bottom