Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi nasikia tu kuwa Zanzibar Kuna kazi nyingi za ulinzi, kampuni nyingi nimewatafuta ila vigezo vyao wanataka mtu alopitia mafunzo ya mgambo au jkt. Sasa ikiwa Kuna mtu yoyote anaijua kampuni...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari watanzania humu ndani.Nimekuwa nikiskia Kwamba UTT AMIS inaruhusu kuwekeza Fedha Kwa riba nzuri tu ila sijui process za kujiunga na kutumia.Naomba msaada. Uzi umeisha.
5 Reactions
2 Replies
465 Views
Hello Boss I'm a reliable, adaptive, flexible, energetic young man with readiness to learn new skills and achieve the desired achievements. I've worked as salesperson,,painter, printing machines...
3 Reactions
3 Replies
435 Views
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career...
0 Reactions
4 Replies
523 Views
Kwa wale walio wahi kufanya usahili wa TBA au wenye uzoefu na mambo ya TBA, msaada wenu tafadhari....! Natanguliza shukrani..!!
0 Reactions
2 Replies
469 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management] Kutokana na changamoto za...
2 Reactions
6 Replies
594 Views
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha...
3 Reactions
8 Replies
998 Views
Natafuta Mwalimu wa Graphic Design 🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo 🔹 Mshahara: Makubaliano 🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam) 🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku 🔹...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Mwananchi Communications Limited (MCL) Job Listing Company Overview: Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG), is Tanzania’s largest independent news...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Job Listing: Senior Reporter – Mwananchi (1 Post) Hiring Organization: Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG) Location: Tanzania About Mwananchi...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Alistair Group is one of East and Southern Africa’s fastest growing service companies, providing a variety of self-delivered logistics solutions across several geographies, aimed with the vision...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts) Background University of Dar es Salaam (UDSM)...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Description Job Overview: The Sales Officer will be responsible for driving business growth within their location by identifying sales opportunities, building and maintaining customer...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Description Job Overview: The Area Sales Manager will oversee the sales operations within a defined geographic region, manage a team of Sales Officers, and drive revenue growth. This role...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa!? Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa...
0 Reactions
7 Replies
614 Views
Shugulika Africa Ltd is a recruitment company that specializes in connecting employers with qualified job seekers. The company provides staffing solutions across various industries, helping...
3 Reactions
3 Replies
674 Views
Back
Top Bottom