Nahitaji ajira ya udereva

Nahitaji ajira ya udereva

Ngosha36

New Member
Joined
Dec 4, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26

Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E
Elim yangu Kidato Cha 4

Uzoefu wa miaka 5

Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya utumish ninavyo
Nahitaji kampunii au taasisi au kiongozi kikubwa mkono uende kinywanii napatikana mwanza
0793588043 ahsantenii sana
 
Back
Top Bottom