As important as a job interview opportunity is for you, often for the person on the other side of the table, interviewing job candidates are interruptions in their day -- keeping them from...
Mimi ni msichana nipo Moshi. Nina Diploma of Business Management natafuta kazi kwa mda sasa. Kwasasa natafuta yeyote iwe tours, hotel au popote. Pia najua kingereza na computer.
Tafadhali...
Wakuu hawa watu wameita watu kwa ajili ya kuanza kazi kwa wale waliofanya interview nafas za Graduate program, naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa humu jukwaani wa kumsaidia mtu kufanya...
Mimi ni mtaalamu wa mifugo nimemaliza chuo mwaka jana natafuta watu wenye kutaka ushauri, matibabu, kusimamia clinic za mifugo, maduka ya madawa ya mifugo na vitu vinavyoendana na hivyo. Kwa sasa...
Watanzania kama tumelogwa.
Wavivu wa kutafuta wakwanza kulalamika.
Nchi za jirani wameshaanza kusotea nafasi za azam media.
Wandishi wa habari wa tanzania changamkeni bana.
Kiukweli kila anayetaka kunipa kazi mpaka aniulize nina elimu gani. Mmmh! naishia kuguna tu maana hapa nimejua umuhimu wa shule basi mie nilikuwa nataka kazi za maofisini? Hapana nahitaji tu za...
Jamani naombeni kujua jinsi ya KujiIntroduce mwenye ni vitu gani vya msingi ktk kujitambulisha mbele ya panel? help afu ntawatonya Konstabo na Sajent lini interview
Bofya hapa hapa kwa maelezo zaidi......
Tangazo la nafasi za kazi kutoka Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma lililotolewa jana tarehe 1 April 2014.....Mwisho wa maombi ni April 15 - MPEKUZI
Habari wadau,
Waajiri watajwa hapo juu wameanza kupigia watu simu leo kwa ajili ya usaili wa Sales and air ticketing agent utakaofanyika siku ya ijumaa SAA tatu asubuhi katika hotel ya Atlantis...
kama ni kampuni linalohusika na utengenezaji wa filamu za kibongo napenda nifanye nao kaxi kwa kuwaandikia script na kuwatungia story
kundi au mtu binsfsi namuuzia story na script bei kuanzia 2...
Habari za leo wanaJF,natumaini wote ni wazima
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,natafta kazi ya u-technician katika kozi ya electronics and Telecommunication,
nimemaliza mwaka jana,mpaka...
Regional Sales Agronomist
The Regional Sales Agronomist main focus area will be to develop fertilizer awareness through agronomy support in order to increase Yara sales and especially the OPP (Own...
KILOMBERO SUGAR COMPANY LTD
Post: Planning Engineer (one post)
Job Requirements:
B.Sc or Advanced Diploma in Mechanical Engineering from a recognized institution
Computer literacy
At least...
Wanajamvi nimeitwa katika interview moshi kwa post hiyo kwa simu na interview inafanyika kesho asubuhi saa 2 tar 2/4/2014 hivyo basi nahitaji msaada wa mwenyekujua interview zao huwa zinakuaga za...
Senior Programme Officer, Health and Nutrition
The Aga Khan Foundation (AKF) is a private, non-denominational, international development agency promoting creative and effective solutions to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.