Naandika Movies Script

Naandika Movies Script

mastemind

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
51
Reaction score
18
kama ni kampuni linalohusika na utengenezaji wa filamu za kibongo napenda nifanye nao kaxi kwa kuwaandikia script na kuwatungia story
kundi au mtu binsfsi namuuzia story na script bei kuanzia 2 million maelewano yapo
pia TV and radio program ninazo
visit:facebook pafe MATHIAS JUNIOR or email makeharder800@gmail.com
NOW PEOPLE BUY IDEAS
 
Mkuu kwa kukusaidia andika profile yako ya kazi zipi ushafanya.., au kama hujafanya kazi kwanza tunga story / andika script na utengeneze kazi kabisa mpaka mwisho, baada ya hapo watu wakishajua ulitengeneza kazi fulani kali watakuwa wanakufuata wenyewe...

Kupata wasanii sio kazi unaweza kutengeneza movie kwa low budget, na kama utatumia local people hakuna haja hata ya kuwalipa kuna watu wapo tayari kutokea tu kwenye movie hata bila malipo
 
hili ndio tatizo kila kitu kinamwanzo nineshaandika script za kutosha
 
kikundi cha sanaa ya filamu nipo tayari kuwatungia hata bureeeeeeeeee contact facebook:mathias junior
 
hili ndio tatizo kila kitu kinamwanzo nineshaandika script za kutosha
Mwanzo mgumu ndio maana nikakushauri kama usipopata watu basi tengeneza filamu yako mwenyewe from A to Z (low budget) kama hii ita-hit itakuwa ni promotion tosha
 
poa mkubwa ila tatizo ni capital nataka nikawaibukie steps na niandike proposal ktk kituo cha tv chochote maana na tunga hadi tv and radio program
 
kikundi cha sanaa ya filamu nipo tayari kuwatungia hata bureeeeeeeeee contact facebook:mathias junior
Usiwatungie bure ingia nao mkataba tunga script tengenezeni movie kwa mapatano kwamba mtagawana baada ya mauzo percent fulani, unless kama ni kazi ya NGO na wataigawa bure
 
poa mkubwa ila tatizo ni capital nataka nikawaibukie steps na niandike proposal ktk kituo cha tv chochote maana na tunga hadi tv and radio program
Kibongo bongo huenda capital isiwe kubwa hivyo; tafuta camera nzuri tu; actors ukitangaza unatengeneza movie kuna watu wengi wanapenda kuuza sura watakuja bure kukutembelea ni rahisi ukienda kwenye TV tayari ukiwa na kitu; kuliko ukienda mikono mitupu pekee na idea ni rahisi kukuibia idea yako na kufanya yao
 
Back
Top Bottom