PETEROPTIMIST
Member
- Nov 16, 2013
- 80
- 17
Mimi ni mtaalamu wa mifugo nimemaliza chuo mwaka jana natafuta watu wenye kutaka ushauri, matibabu, kusimamia clinic za mifugo, maduka ya madawa ya mifugo na vitu vinavyoendana na hivyo. Kwa sasa nipo Dar ila nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote TANZANIA. Kwa mawasiliano 0653732909.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.