Habari wadau,
Waajiri watajwa hapo juu wameanza kupigia watu simu leo kwa ajili ya usaili wa Sales and air ticketing agent utakaofanyika siku ya ijumaa SAA tatu asubuhi katika hotel ya Atlantis Masaki
Mimi nimepokea simu yao leo , kwa mwenye ufahamu wa maslahi yao hawa jamaa please atujuze pamoja na mazingira yao ya Kazi.
Pia kwa wale mliomba nafasi za kazi Oxford University Press kwa nafasi ya Sales Executive wameanza kuita watu kwa ajili ya interview siku hiyohiyo ya ijumaa, pia mwenye ujuzi wa maslahi yao hawa jamaa atujuze please
Nawasilisha