Natafuta Kazi na Internship za Electronics and Telecommunication

Natafuta Kazi na Internship za Electronics and Telecommunication

Dimoe

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Habari za leo wanaJF,natumaini wote ni wazima
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,natafta kazi ya u-technician katika kozi ya electronics and Telecommunication,
nimemaliza mwaka jana,mpaka sasa sina kazi,
naomba msaada wenu,naweza kufanya kazi katika sekta mbalimbali 1.redioni 2. Kampuni za minara 3.uwanja wa ndege 4.migodini 5.viwandani 6.tanroad 7.jeshini.
Naomba msaada wenu,mie nimejaribu sana hakuna k2.
 
Back
Top Bottom