NI HILI SHARTI LA 9 na 10:
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi. x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa...
Natafuta mfanyakazi wa ndani awe na umri usizidi miaka 23, na asiwe ana mtoto, awe tayari kukaa nyumbani, mahali pa kazi ni IRINGA mjini, mshahara ni 40,000, mwenye mtu ani PM
Wakuu nimefanya utafiti kwenye mambo ya UHASIBU nikagundua vyuo vya private ni wabovu sanaa, hii inathibitishwa na mitihani ya NBAA (CPA) vyuo vya serikali ndio vinafanya vizuri mfano, MUCCOBS...
Principal Internal Affairs Officer- Regions Security Coordination
Purpose of the Job
To assist in the administration and coordination of the security matters in the regions to ensure security of...
Habari wakuu. Yumkini tangazo hili limefika humu tayari, mod utaunganisha
Hadi sasa bado hawajaweka tangazo hili kwenye website yao ila gazet la guardian la leo lipo
Najaribu ku-upload picha ila...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
Ndugu wapendwa katika dunia tuliyopo hakuna jambo muhimu na lenye manufaa kama kupata taarifa SAHIHI tena unapokua unafatilia jambo flani ambalo ni muhimu.
Hivi karibuni jeshi la kuzuia na...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT'S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/08 01stApril, 2014VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf ofTanzania Food and Nutrition...
Husika na kichwa hapo juu, house girl anahitajika haraka iwezekanavyo na mahali nipo Ubungo, Dar.
Vigezo na mashari ni kama ifuatavyo:
1. Awe na umri kati ya miaka 14 - 20
2. Awe angalau...
Tafadhari jibu swali juu,,
Niliomba zite ila mtandaoni wala simu sijaona mpk sasa
Nshazowea Sekretarieti ya Utumishi inatuma sms na kupiga pia huku vije
Hivi hii tume ya ajira kupitia utumishi wa umma wamekua na kazi ya kutangaza nafasi za kazi tu bila kuita watu kwenye usahili na sasa wamekua na tabia mbaya sana eti re-advertised. Hivi ni kweli...
Najua kila mtu anabahati yake wala sipingi hl kdogo naweza kuwaachia bahati hii wale watakaomtumia maombi KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ila vjana tunatakiwa tutambue tupo weng mno...
Matumaini yangu ni wazima wa afya, watanzania wezangu kwa sasa hari ni ngumu hasa kwa sisi tusiokuwa na ajira na hatuna mitaji ya biashara, ila tuna mawazo mengi tu ya biashara.
kwa sababu...
RESEARCH OFFICER II-(Sixty one-Posts)Mtwara
(a)Chemical and Process Engineer (FourPosts)
(b)Dehydration/dew point Engineer (SixPosts)
(c)Methanol Recovery Injection and Condensate Stabilization...
Habari za Leo wadau,
Kuna nafasi za kazi zilitangazwa na hawa jamaa mnamo tarehe 10/02/2014 kwa nafasi zifuatazo:
1. Sales Executive
2. Science Editor
3. Graphic Designer
Kama unafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.