Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo UDSM, Mzumbe, SUA na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale...
Hawa TPB walitangaza kazi 28 February, 2014 za Relationship Officers, Walisha ita watu kwa Interview au Ndo tayari watu wako kazini? Mwenye Updates jamani atujuze, Nawasilisha
Nataka kazi hata za site maana ake hapa nimechoka kulala nje kila siku jamani msaada wenu kila siku mimi tu Why me So naombeni hata mwenye kujua kazi ipo anicheki kupitia mtandaoni kupitia...
Wadau mwenzenu nalala njiani leo wakat 2morrow saa nane dimba! nikifika mapema MUNGU mkubwaa, natoka mtwara ata NANGURUKURU bado, nikifka mbagala saa 7, cjui kama nitafka TAMBAZA mapema! MTWARA...
kama unasifa na nafasi zote zilizotangazwa, unaweza omba zote au ndo kuonekana hujiamini na hujuwi unataka nini?
jamani ebu fungukeni wajuzi wa mambo na ma HR ili tutupie mizigo, TRA kutamu sana
Wadau naombeni mnijuze.......nimepigiwa simu na jamaa flani hivi kutoka italy. Kaniambia nimtumie CV yangu.
Kabla ya maongezi ilikua hivi:-
Kaniona kwenye linkeldin akanirequest na pia katuma...
Wale wote mnaohusika na hili jambo mko wapi? mbona kimya, tupeni posible hasa mliokuwa kwenye ile ya mwaka jana, writen inakuwaje? na oral pia wanauliza maswali ya aina gani? unaweza ukaushangaa...
HIVI kuna mmojawapo kama mimi anayeikumbuka kauli ya huyu bwana? Namnukuu "UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA" Huwa najiuliza mpaka leo hii ni kwanini huyu bwana alisema...
Nawaza sana inakuwaje unawatoa watu mikoa ya mbali unaenda kuwafanyia aptitude test. Hivi siku watu wakigoma kabisa kuja mtafanyaje? Sioti ila huku tuendako watanzania ipo siku watachoka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.