JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA.
Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
Wakuu, mimi ni mwalimu wa somo la Uchumi. Tayari nina ajira yangu hapa Dar es salaam. Kama kuna mwanafunzi anahitaji mwalimu wa ziada (tuition) kwa ajili ya somo hili, au kama kuna Taasisi...
Habari wana JF, mwenye taarifa zozote za mchakato mzima wa ajira za takukuru baada ya siku kadhaa kupita tokea usaili wa mwisho ufanyike. Ni hayo tu ndugu zangu
Ni wale wanaokuja hapa JF wanalalamika wasaidiwe kazi. Nimeshafanya research na zaidi ya ID 10 kua mimi ni KE na natafuta kazi. Watu wote waliojifanya wanataka kunisaidia ambao ni ME walitaka...
Habari ndugu zangu,
mimi mdogo wenu nasoma Mechanical Engineering nina barua za kuomba mahali pakufanyia field ambapo nitapata POSHO hii ni kutokana na mimi kujilipia ada chuo nashindwa nitume...
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa...
Wakuu,
Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je...
SMART CODES LTD
Company Overview
We are committed to helping businesses maximize their up-time while reducing cost of IT solutions
for small and medium businesses in Tanzania
ARE YOU THIS PERSON...
Ndugu wanajamii.
Nimevumilia sana hatimae nimeona kuwa mficha ugonjwa mauti umuumbua na yamkini aliegundua ngazi alikuwa ni mfupi wa kimo. Nasema hayo kwa kuzingatia hali yangu ya maisha...
Mwananchi Communications Limited
Post: Zonal Manager 1 post
Reporting to the chief Operating Officer, the zonal Manager will lead a team of editorial, advertising, circulation and Finance...
SENIOR ADMINISTRATIVE OFFICER II
From the Guardian of 1st April
Ardhi University has vacant positions in the Academic and Administrative cadre. The University subscribes to the policy of an equal...
DATA MANAGER/STATISTICIAN - Ifakara Health Institute
Ifakara Health Institute (IHI) is one of Africa's most eminent health research organizations. With a history of more than 50 years, IHI is an...
Post: Manager, Media and Advocacy (1 post)
We are looking for a person who is:
(a) committed to social justice, human rights and quality education;
(b) Creative, imaginative and analytical...
Researchers Academicians & Allied Workers Union (RAAWU)
Post:
Assistant Secretary (Regional Secretary)
Job Purpose:
The primary purpose of this position is to assist Zonal Secretary in...
Habari zenu wakuu,
Nipo mbele yenu kwa siku ya leo kuwasilisha tuhuma zangu dhidi ya TANESCO, UDSM pamoja na Akiba Commercial Bank.
1. TANESCO, ni siku kadhaa zilizopita hawa jamaa wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.