Habari wana JF
Mimi nimepigiwa simu jana na hawa watu interview ipo jumatano posta house opposite na wizara ya mambo ya ndani ,naomba kuuliza kama kuna yoyote kaitwa au kama kuna yoyote ana information zozote, niliapply last year november accountant and admnista officer