Yaani kukaa bila ajira ni noma, kwa muda mrefu

njiampya

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
13
Reaction score
5
Kipindi ukiwa chuo unakuwa unajipa, hope, baada ya miaka mitano nikimaliza chuo nitakuwa na maisha mazuri sana! Kumbe baada ya miaka mitano unakuwa bado hujapata ajira tokea umalize chuo ni noma.... Baada ya miaka mitano kumbe hata kupata mulo ni bahati na bachelor degree yako!!! Hivi kijana kama huyu akisikia dili lolote lile lazime afanye ili hata apate uhakika wa kupata mulo! Kama unabisha kuwa hata kupata mlo ni bahati, baada ya kumaliza chuo acha kukaa kwa wazazi wako uone!kama ujashindia uji na mihogo! Ndio maisha ya watanzania wanaomaliza bachelor degree na kukaa gheto! Nawakilisha.
 
Sio rahisi kwa mtu mwenye maono. Anza taratibu na kidogo kidogo sana then uendelee kukua. Tofauti ya mtu msomi na asye msomi ni kwamba aliyeenda shule anakuwa na vision, anaona mbalii. kwa hyo hata kama ameanza na biashara ya karanga anakuwa na targets za kuifanya kisasa zaid na kwa ukubwa
 
Ebana amenikumbusha nilikwenda kariakoo kuomba kazi..mhindi akaniambia kwa ukali hamna kazi
 
Sio rahisi kwa mtu mwenye maono. Anza taratibu na kidogo kidogo sana then uendelee kukua. Tofauti ya mtu msomi na asye msomi ni kwamba aliyeenda shule anakuwa na vision, anaona mbalii. kwa hyo hata kama ameanza na biashara ya karanga anakuwa na targets za kuifanya kisasa zaid na kwa ukubwa
Ndugu yangu kama umemaliza chuo kikuu dar halafu,huna ndugu dar, wengi wanafunzi wanandugu dar, chuo kikiisha huwa wanaenda kuishi kwa ndugu. fatilia wanafunzi ambao wamemaliza chuo dar halafu hana ndugu akaendelea kuishi dar gheto, utajua vijana wanavyopiga uji na muhogo, kipindi kazi haijapikana. Ni ukweli mie mwenyewe nimepitia hiyo hatua ya kupiga uji na muhogo. Ila inakuwa siri ya gheto.
 
Hukuona juzi wameitwa 10000+ ila wanatakiwa 70 tu
 
Hii ni aibu sasa kwa wanachuo.
Hivi unashindwaje kuomba mtaji wa Elfu ishirini ukanunaa Machungwa au matikiti kwa jumala Pale Burguruni ukauza mtaani?
Kama mnatembea na vyeti hii hali ni mbaya sana,unakuwa na Bachelor yako kisha muuza mahindi wa njiani unamuona kama Do king unatamani umuombe kipande cha muhindi ili angalau upate stim za kunywa maji mengi.
Tatizo ni Aibu nakuona kwamba ni wasomi na wengine kufanya kuishi maisha Fake eti kisa wasomi
 
vijana msipobadilika mtakufa na tai shingoni na bahasha mkononi mkisaka ajira za kitumwa.
 
ajira zanyewe mshaara wa wengi ni net 400 mpaka 900.
1.Kwa siku matumizi 12,000 single(360,000)
2.umeme kwa mwezi 40,000
3.Maji kwa mwezi 20,000
4.vocha kwa mwezi 40,000
5.Nauli kwa mwezi 50,000
Majanga ukiwa na familia ndio hamna kitu utakuwa unafanya kazi ya end to mounth kwa miaka yote mpaka hela ya ppf/nssf ije kukupa msingi.
 
Tatizo wamekariri kuwa ukimaliza lazima ukaajiriwe TRA, bank taller and so on lakini kujiajiri wanashindwa au wengine wanaona Aibu ana degree anauza duka kwa Muhindi, endelea kukaa hivyohivyo ukigombania maandazi na mdogo wako!
 
ajira zanyewe mshaara wa wengi ni net 400 mpaka 900.
1.Kwa siku matumizi 12,000 single(360,000)
2.umeme kwa mwezi 40,000
3.Maji kwa mwezi 20,000
4.vocha kwa mwezi 40,000
5.Nauli kwa mwezi 50,000
Majanga ukiwa na familia ndio hamna kitu utakuwa unafanya kazi ya end to mounth kwa miaka yote mpaka hela ya ppf/nssf ije kukupa msingi.
Umesahau kodi ya chumba kwa mwezi 100,000
 
Ajira ni chache sana kuliko wanafunzi wanaomaliza.
Muhimu vijana tuanzishe ajira tuweze saidia wengine
 
ajira zanyewe mshaara wa wengi ni net 400 mpaka 900.
1.Kwa siku matumizi 12,000 single(360,000)
2.umeme kwa mwezi 40,000
3.Maji kwa mwezi 20,000
4.vocha kwa mwezi 40,000
5.Nauli kwa mwezi 50,000
Majanga ukiwa na familia ndio hamna kitu utakuwa unafanya kazi ya end to mounth kwa miaka yote mpaka hela ya ppf/nssf ije kukupa msingi.

:second: umetishaje!
 
Ajira ni ngumu sana. Madogo wamerudi home kwa ajili ya likizo wamenikuta hapa sina kazi yani hakuna cha heshima mpaka nianze kuwasalimia kila siku. Mtaji nilinyimwa na mzee kwani ningekuwa mbali. Sitamani kuishi hapa tena na mpaka nimepata vidonda vya tumbo.
 
Hahaha pole sana ndugu, wengi hupitia iyo hali siyo peke yako...komaa mwanangu heshima itarudi tu!
 
Ajira ni ngumu sana. Madogo wamerudi home kwa ajili ya likizo wamenikuta hapa sina kazi yani hakuna cha heshima mpaka nianze kuwasalimia kila siku. Mtaji nilinyimwa na mzee kwani ningekuwa mbali. Sitamani kuishi hapa tena na mpaka nimepata vidonda vya tumbo.

usikate tamaa komaa,niambie ulisoma nini na uko wap
 
Back
Top Bottom