Arusha vibarua huku tutapataje?

Arusha vibarua huku tutapataje?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,113
Reaction score
4,011
Vipi watu waarusha vibarua huku vinapatikana wapi sehemu ambayo unaweza ukapata hata elfu 5 za fastafasta
 
poa ngoja nitacheck

viwandani mkuu, hata hivyo kama kweli ni vibarua hata mirerani mgodini c haba maana naona bbc wanadai watoto ndo wanafanyishwa kazi za wakubwa huko, changamkia fursa mapema.
 
Back
Top Bottom