cbandiho
Member
- Sep 2, 2012
- 67
- 47
Kumekuwepo na wimbi kubwa la matapeli katika ajira huku wakitumia mbinu mpya na teknolojia mpya kila uchao, MATAPELI hawa wanatengenezwa na wafuatao.
1.SERIKALI. Serikal yetu haina sera na mikakati ya dhati kuwaandaa vijana kujiajil lakin pia haina mkakati wa kuwapatia ajira vijana wanaomalza masomo matokeo yake vijana wengi wamejazana mitaan bila kaz.
2. SIS WENYEWE. Vijana wengi tumekuwa walalamikaji huku tukiamini ajira ndo njia pekee ya kutuletea maendeleo, tunakuwa wavivu kujishughulisha na matokeo yake tunaingiwa na mawazo mabaya na yasiyofaa, vijana wengine tunataka pesa za chapchap bila kuangalia athari zake.