Dereva anatafuta Gari hesabu kwa siku/wiki/mwezi

Dereva anatafuta Gari hesabu kwa siku/wiki/mwezi

Muislaam

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
129
Reaction score
43
Habari wana jf, mi ni dereva ninahitaji Gari ndogo kama SUZUKI 4wd kwa shughuli ndogondogo kw wanaokodisha mawasiliano yangu ni 0714306015 natanguliza shukrani!
 
Habari, wana Jf mimi ni derva nilikuwa nahitaji garo ndogo kwa ajili ya shughuli mabalimbali wa wanaokodisha au kama kuna anayewafahamu wanaokodisha!!
kwa mawasiliano zaidi 0714306015 Natanguliza shukran!!
 
suzuki arry, pik-up, au nyingine yoyote inayowez kubeba mizigo midogo midogo!!
 
suzuki arry 4wd, au pik -up na nyinginezo ziznzoweza kubeba mizigo midogo midogo kama dukani, sokoni
 
Haya Mukubwa,weka hesabu yako kwa wiki ni kiasi gani.
Halafu kama una mdhamini wa uhakika.Maana hapo unaongelea Gari ya kuanzia 7m kwenda mbele.
Maana ninaona wengine ni Killer,yaani mzigo wa Tani 2 ana uload kwenye Carry mzigo wa Tani 7 ana uweka kwenye Canter.
Maana wengine wanabeba tofali kwenye Carry,duuh ikifika miezi sita bodi lote limeshuka.Kazi kweli.
Nakwambia hivyo kwa uzoefu,maana mwanzo madereva walinitesa sana,kuna siku nilimkuta kakiweka tofali,basi nilikishusha hapo hapo.
Ila baada ya muda ndio nikapata Driver dhamana Pale Buguruni sokoni ndio akanitafutia wenzake kama yeye nikawa na Amani na gazi zangu.
Je,umewahi kufanya hii kazi,maana unaonekana kama ndio unaanza au ulikuwa Shanta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom