Habari wakuu,
Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa...
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya...
Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira
Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) .
Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission.
Pia kampuni itakupatia nauli...
Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu...
Habari zenu wakuu,
Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya...
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya mpishi ( Chef)
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi
Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam.
Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
0756704145
Wajuvi wa Mambo, Kwani secretarieti ya Ajira hawajui kuwa USTAWI WA JAMII kwa kimombo ni sawa na SOCIAL WORK ? Maana Mshikaji wangu ana sifa sawa na tangazo la ajira (AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA...
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo...
Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema...
Habari za jioni wadau?
Naomba msaada wa kujua total overtime, gross na net salary ya mtu (KWA MWEZI), kwa mwenye basic salary ya 2,192,540 Tshs anayolipwa kwa kufanya saa 45 kwa wiki moja, i.e...
Mbeya University of Science and Technology (MUST) is a result of the transformation of the Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) through the Universities Act No.7 (2005) and the Mbeya...
UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.