Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Naitwa Andrew naishi Dar es salaam,nafanya video production na picha najitaji muwekezaji wa kufungua ofisi kwa mkataba atakaekuwa tayari namba yangu hii-0774179495 au anicheki DM
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m...
2 Reactions
4 Replies
630 Views
Anonymous
Kumekuwa na kigezo cha kuwa na cheti cha computer mtu akitaka kuomba kazi PSRS hali yakuwa watu tumesoma computer chuo kama somo zaidi ya mara mbili, na wao wanataka tena cheti cha computer hali...
1 Reactions
9 Replies
694 Views
Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wahi sasa kwa Maelezo zaidi nipm Nikuombe vocha
16 Reactions
212 Replies
61K Views
Current vacancies Tanzania National Parks (TANAPA) is a parastatal organization charged with legal mandate to manage and regulate the use of areas designated as National Parks so as to...
0 Reactions
23 Replies
64K Views
Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
10 Reactions
94 Replies
55K Views
Tanzania kila kitu kinawezekanika. Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani...
0 Reactions
2 Replies
420 Views
Ni muhimu makazi yako yawepo Mwanza, uwe umewahi kufanya Kazi ya Sales Mwanza. Unaijua Mwanza vizuri. Naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Jamn kwemaaa!! Kuna yeyote ambae ashapata mrejesho wa hizi KAZI za TANROADS PWANI-?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninaomba kazi za Data entry, analysis... Kutoa huduma za simu na pesa na internet Graphics designing Supermarket na security checking and approval. Ninakuhakikishia nitakufanyia kazi yako kwa...
3 Reactions
11 Replies
547 Views
Wasalaam. Dhumuni la bandiko hili ni kutaka kujua makato anayopaswa kukatwa mwajiriwa wa serikali. Lengo ni kujua take home inabaki ngapi baada ya makato stahili. 1. PAYE ni asilimia ngapi? 2...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomba kama unafanyaga kazi za fumigation unicheki Kazi: kupulizia ama kupaka dawa mbao za kenchi ya nyumba Mahala: Morogoro mjini Bei : tutazungumza ukishanicheki
1 Reactions
1 Replies
314 Views
MeTL Group is a leading economic force in Tanzania with major investments and successful operating companies in key business sectors. The Group employs more than 24,000 people across the country...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari wana Jf, mimi ni fundi wa kuchomelea (arc ray welding) pia nina uwezo wa kutumia mashine mbali mbali kama za MIG na TIG. Natafuta kazi ya kuchomelea hasa viwandani na migodini maana ndiyo...
3 Reactions
5 Replies
659 Views
Anonymous
Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?. Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto? Hata barua yenyewe kujua...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Natafuta gari yamkata kwaajili ya Uber na bolt nitalipalaki mbili na hamsi tsh 250000 ikiwa ya gas ya mafuta laki mbili tsh200000 contact 0621152913.
1 Reactions
0 Replies
317 Views
Back
Top Bottom