Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi ya serikali nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja...
1 Reactions
11 Replies
826 Views
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI. Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa...
2 Reactions
0 Replies
281 Views
🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI 📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello wana jamii Natafuta kazi ya HSE OFFICER nina cheti cha NOSCH 1 na cheti cha RISK ASSESMENT Email yangu ni: arielle_00@yahoo.com
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ukisoma kozi ya Osha zile na umeajiriwa katika kiwanda Cha serikali, kile cheti kinaweza kukusaidia kupanda mshahara au kuhama taasisi?
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jukwaa kiufupi husika na kichwa cha habari hapo juu kampuni ya keeway motorcycle inahitaji mtu wa kusimamia masoko nchini tanzania (regional sales manager) kama unahisi...
3 Reactions
1 Replies
544 Views
Naomba wale wajuzi wa kuandika kumbukumbu namba katika barua rasmi mkutane mtoe somo hapa Vitu gani vya kuzingatia katika uandishi wa kumbukumbu namba katika barua ya kwanza na kuendelea
0 Reactions
5 Replies
26K Views
Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
3 Reactions
8 Replies
590 Views
Habari wadau natafuta mtaalam wa kutengeneza crips nimpe ajira wasiliana kwa 0626333300
3 Reactions
13 Replies
520 Views
Aya ajira izo apoooo msiseme hamjaambiwa kazi kwako
2 Reactions
3 Replies
990 Views
Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Anaitajika Dereva pikipiki (1) 1. Awe na leseni 2. Awe anaishi banana , majumba sita, kitunda , kibeberu, kivule, mwanagati. 3. Malipo ya mwezi: 200,000 4. Ela ya chakula 2,500 5. Awe analielewa...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) . Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission. Pia kampuni itakupatia nauli...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu...
2 Reactions
3 Replies
990 Views
Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya...
2 Reactions
3 Replies
408 Views
Back
Top Bottom