Nafasi ya kazi mgahawani ( Mpishi)

Nafasi ya kazi mgahawani ( Mpishi)

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
216
Reaction score
60
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya mpishi ( Chef)
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi
Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
 
Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara wa Kilimanjaro hamlipi stahiki za wafanyajazi kwa hiyari. Hadi mshitakiwe
 
Kwani huwajui hao jamaa wanaangalia hela , hata ndugu yao asipokuwa na hela huwa anabaguliwa sana,ananyanyapaliwaje.

Njoo Sasa vijana wa kazi aka shamba boy from singida.
Wanafanya kazi wanawadai hela nyingi baadaye wanawasingizia kuwa wamewaibia , wanawashtaki ujue mahakamani kumbe ishu kubwa ni kuwa amfukuze akimbie amuachie hela.
 
Ni washenzi sana
 
Kuna rafiki angu mkaka jamani ukiongea nae kuhusu kuoa mpaka unaboreka...yani kuhusu ndoa muda wote anatazamia mali zake kama atakufa au ataachana na huyo mwanamke! ndo kwanza na 20s ila anawaza akioa akifa mali zake itakuaje ili mwanamke asipate! Aisee namsikitikiaga sana wifi angu
Ila wachaga! Mali wameweka sana mbele sio rahisi kutenda haki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom