Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Vacancy: Physiotherapist (2) and Occupational Therapist (1) Ref: 2025 – 11 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Habari wakuu naomba msaada kwa aliyewahi kuitwa Interview ya written au oral katika nafasi hizi: 1. Admission Officer II (NACTVET) 2. Editor II (TIE) 3. Quality Assurance Officer II (NACTVET)...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari ndugu wana JF. Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024. Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine. Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha...
15 Reactions
186 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu, Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno. Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
SHUHUDA: Alipataje $1000 Upwork? Ni kijana wa kawaida kabisa. Hakuwahi kufanya kazi yoyote online. Alinitafuta akaniambia: mimi sina ujuzi wowote, na sijui nianzie wapi.” Nikamuambia: “Sawa...
2 Reactions
14 Replies
981 Views
Ndugu zangu wapambanaji. Tanroads mkoa wa songwe,wameanza kuita watu kwa ajili ya written interview. Kwa tulioomba nafasi ya uhasibu interview itakua ni tarehe 31 May 2025,itafanyikia vwawa...
2 Reactions
10 Replies
725 Views
Jamani nimefika radio Moja ipo huko Kilimanjaro, Wilaya ya Hai . Nimeshangazwa sana na nlichokikuta kwenye ile Radio, na Tena redio yenyewe inamilikiwa na halmashauri ya wilaya ya Hai, lakini ile...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Habari wanaJamiiForums Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie. Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile. -Ujenzi -Computer...
2 Reactions
6 Replies
504 Views
Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
URGENTLY VACANCIES(Sales Manager) Place;Mbeya On behalf of growing company,we are looking sales persons Requirement Must stayed at Mbeya Certificates or Diploma or other MODE OF APPLICATION...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Habari zenu wakuu, Kwa wale wenye experience na practical interview za utumishi especially kwenye kada ya engineer -II naomba m-share tafadhari. Sharing is caring🙏
0 Reactions
3 Replies
753 Views
Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo...
1 Reactions
2 Replies
757 Views
Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E. Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo...
1 Reactions
31 Replies
20K Views
Naomba kuulizxa kwa range yamsihshara kwa maafisa afya, mazingia au maafisa jamii wanaoajiliwa migoding range yasalary ni sha ngapi? Je, kunamalulupu gani ya ziada? Je, maisha ya kufanya kazi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini...
2 Reactions
2 Replies
385 Views
Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line. Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya...
2 Reactions
1 Replies
253 Views
Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni...
1 Reactions
7 Replies
620 Views
Back
Top Bottom