Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari za jioni! Naomba kufahamu kiwango cha mshahara kwa daraja la TRSS 4 inaweza kuwa ni shilingi ngapi? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teofilo Kisanji University is looking for best candidates to fill 3 vacant post which are: 1. Vice Chancellor of the University 2. Deputy Vice Chancellor Academic affairs of the University 3...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta kazi ndugu zangu wanajf nipo dar elimu yangu kidato cha nne naomba msaada wa kuweza kunisaidia kama supermarket.duka.nappia nina uzoefu wa kazi za research 0682051729
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Kwa ajili ya kusimamia duka kubwa la dawa; pia anatakiwa fundi dawa (pharm tech) na disdensing staff wengine. Wenye sifa tafadhali wanipm na wawe tayari kufanya kazi Dar au Bagamoyo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi Tangazo la kazi...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Niko Mwanza, ni mwandishi chipukizi wa vitabu vya ushairi, hadithi na articles mbalimbali, pia birthday cards,thank you cards,family cards,inspirational cards n.k. Nahitaji web designer mmoja...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Natafuta Kinyozi wa barbershop.. Iko mbezi...mwisho... 0714-111058 0752-109265 Nicheki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu yangu ni stashahada ya ualimu katika somo la kiswahili. Sikubahatika kuajiliwa serikalini lkn nina uwezo mkubwa wa kufundisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MANAGING DIRECTOR (MD) GENERAL MANAGER. (GM) DIRECTOR GENERAL (DG) Mwenye kufahamu tofauti ya nafasi moja na nyingine anijuze na majukumu ya kila nafasi hizo Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kaka yangu anatafuta kazi ya udereva Ni dereva wa magari makubwa yuko Dar, iwe kwenye kampuni au watu binafsi Ana uzoefu wa kutosha na kafanya kazi na makampuni kama SOGEA SATOM, TOTAL N.K
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote. Kijana wa kiume,umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ujuzi wa ufundi umeme wa nyumbani. Anatafuta kazi yeyote halali iwe kwenye duka,soko,bustani,mgahawani nk Ni kijana...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Human Resources Officer NOB- (1 Post) 2. Innovation Scalling Venture Project Manager- (1 Post) WFP offers a competitive...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini Kusoma zaidi na kuapply: 1. Social Media Intern - (1 Post) 2. Graphics And Animation Intern- (1 Post) 3. YouTube Manager- (1 Post) 4. Videographer...
1 Reactions
2 Replies
513 Views
Mwaka 2012 nilihitimu diploma yangu ya ugavi na manunuzi (procurement ) kutoka Tanzania Institute of aAccountancy kama haitoshi nikajitolea kwa miaka 2.5 ili kupata uzoefu wenye kunijenga kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa habari, mimi ni mwanamke ninaejitambua na nipo mbele yenu kuwaomba wale wote wenye uwezo wa kunisaidia nipate ajira ya kudumu serikalini. Natamani kufanya kazi kama Mwana Maendeleo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtu yeyote anayefanya kazi Mikoa ya nyanda za juu kusini ili tubadilishane vituo. Mimi niko Tarime (H/Mji) kama afisa Mifugo .
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Juzi tuu JKT walitangaza nafasi za kujiunga na JKT kwa mwaka 2016/2017 kwa kujitolea na kutaja sifa za mtu ambae anaweza kujiunga na jeshi ilo kwa fununu nilizonazo bara kuna baadhi ya wilaya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score, Ni nini hiyo kitu wakuu? Ni kipimo cha hospital au? Shukran
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaitwa EBI Consultancy, do these guys exist for real, nakumbuka majuzi walitoa post za interns
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Back
Top Bottom