Kubadilishana kituo cha kazi

SAMSON MGAYA

Member
Apr 15, 2016
53
25
Natafuta mtu yeyote anayefanya kazi Mikoa ya nyanda za juu kusini ili tubadilishane vituo. Mimi niko Tarime (H/Mji) kama afisa Mifugo .
 
Back
Top Bottom