Kuingia JKT mafunzoni ni kuanzia tarehe 20 mwezi ujao. Je hii kauli ni kweli wakuu?

Sina uhakika ila sidhani kama itakuwa kweli maana sasa hivi shughuli nyingi za serikali zinasubiri bajeti ya 2016/2017 kwa sidhani kama mafunzo yanaweza kuanza mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom