GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Mwaka 2012 nilihitimu diploma yangu ya ugavi na manunuzi (procurement ) kutoka Tanzania Institute of aAccountancy kama haitoshi nikajitolea kwa miaka 2.5 ili kupata uzoefu wenye kunijenga kwenye soko la ajira baada ya kujitolea kwa muda nikaamua kuacha na kuanza kusaka matangazo ya ajira kuomba kazi namshuku mungu zote nilizoomba niliitwa kwenye usaili hatua zote written & oral pale utumishi ila kuitwa kwenye ajira ishu.
Baada ya kuomba bila mafanikio nikaaza kujihusisha kwenye biashara nanunua vitenge Kigoma nakopesha Dar huku naomba kazi kutokana na umri kwenda nikaoa na kupata mtoto mmoja nikaona bora nianze kununua ardhi maeneo ya vikindu licha ya kuwa nje ya mji ila ardhi ni asset nzuri nimefanikiwa kupata maeneo natamani either kulima aina fulani ya mazao au kujenga mabanda kufuga kuku, ila changamoto niliyonayo ni ukata wa kifedha maana biashara zangu zimeyumba sana ninakoenda sio kuzuri nawaza kuuza baadhi ya maeneo nipate cha kuanzia wateja sheeda nikisema nikope bado ninachotaka kufanya hakitegemei kuniwzesha kurejesha mkopo kwa wakati.
Wana JF wenzangu mimi kitaalum ni mgavi nina uzoefu wa miaka zaidi ya miwili nina CV nzuri naweza kufanya kazi kama storekeeper, assistant supplies, assistant logistics, inventory controller, najua kutumia computer vizuri.
Naombeni ushauri wa namna ya kutatua changamoto zangu kuhusu mtaji niuze eneo au nisaidiwe kibarua au mtu akihitaji nauza bei 3.5ml mazungumzo yapo eneo lipo umbali wa mwendo wa dakika 7 kutoka Vikindu madukani kwa pikipiki niuze nipate kinanda nifuge kuku au chochote ajira ni sheeda.
Mwisho kwa vijana wezangu tujitume sana kwenye kutafuta maisha na kuwkeza kwenye ardhi asante.
Atakaye kuwa na ushauri mapendekezo 0683715151