Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Wapendwa habari, mimi ni mwanamke ninaejitambua na nipo mbele yenu kuwaomba wale wote wenye uwezo wa kunisaidia nipate ajira ya kudumu serikalini.
Natamani kufanya kazi kama Mwana Maendeleo ya jamii. Naamini naweza kuleta mabadiliko makubwa ktk jamii zetu.
Ahsante kwa kunisaidia
Natamani kufanya kazi kama Mwana Maendeleo ya jamii. Naamini naweza kuleta mabadiliko makubwa ktk jamii zetu.
Ahsante kwa kunisaidia