Nifahamisheni kuhusu hii CPC Score

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,181
1,714
Habari zenu wakuu,

Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score,

Ni nini hiyo kitu wakuu?

Ni kipimo cha hospital au?

Shukran
 
Mbona nahisi kama ndio walewale wasanii wa mjini......ila ngoja watalaam waje watoe maelezo juu ya hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom