Kiwango cha mshahara level ya TRSS 4

Mo'Anna

Member
Jun 10, 2015
83
65
Habari za jioni!

Naomba kufahamu kiwango cha mshahara kwa daraja la TRSS 4 inaweza kuwa ni shilingi ngapi?

Natanguliza shukrani.
 
Specify kwanza kua unalipwa na organization ipi angalau watu wapate mwanga wa kukusaidia
 
Back
Top Bottom