Nahitaji web designer mwenye sales and marketing skills tuungane na kuanzisha ofisi

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,598
Niko Mwanza, ni mwandishi chipukizi wa vitabu vya ushairi, hadithi na articles mbalimbali, pia birthday cards,thank you cards,family cards,inspirational cards n.k.

Nahitaji web designer mmoja mpenda kazi au na mchapakazi, mvumilivu na mwaminifu,mkazi wa Mwanza. Aliyetayari kufanya makubaliano ya kisheria, kwa ajili ya kujoin pamoja tuanzishe business website itakayotulipa kupitia uandishi wa articles mbalimbali, business advertisements na contests juu ya mambo mbalimbali, kwani hayo na mengine yatatuongezea traffic kwenye website yetu na kupata malipo mazuri.
 
Niko Mwanza, ni mwandishi chipukizi wa vitabu vya ushairi, hadithi na articles mbalimbali, pia birthday cards,thank you cards,family cards,inspirational cards n.k. Nahitaji web designer mmoja mpenda kazi au na mchapakazi, mvumilivu na mwaminifu,mkazi wa Mwanza, aliye tayari kufanya makubaliano ya kisheria, kwa ajili ya kujoin pamoja tuanzishe business website itakayotulipa kupitia uandishi wa articles mbalimbali, business advertisements na contests juu ya mambo mbalimbali, kwani hayo na mengine yatatuongezea traffic kwenye website yetu na kupata malipo mazuri.
Tuwasiliane hapahapa.
 
Back
Top Bottom