Nini tofauti ya nafasi hizi

mrimbeni

Member
Dec 10, 2015
30
16
MANAGING DIRECTOR (MD)
GENERAL MANAGER. (GM)
DIRECTOR GENERAL (DG)
Mwenye kufahamu tofauti ya nafasi moja na nyingine anijuze na majukumu ya kila nafasi hizo Asanteni
 
Hakuna tofauti vyote vina maana sawa ila kila taasisi ina chagua lipi watumie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom