Natafuta kazi

bebwa100

Member
Apr 13, 2016
16
4
Natafuta kazi ndugu zangu wanajf nipo dar elimu yangu kidato cha nne naomba msaada wa kuweza kunisaidia kama supermarket.duka.nappia nina uzoefu wa kazi za research 0682051729
 
Kilimo kinalipa sana mfano gunia la maharage ni karibia 200,000/= mashamba yanapatikana morogoro, dodoma nk. Ikitusua unapata mtaji wa kuanzisha biashara yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom