Teofilo Kisanji University is looking for best candidates to fill 3 vacant post which are:
1. Vice Chancellor of the University
2. Deputy Vice Chancellor Academic affairs of the University
3...
Natafuta kazi ndugu zangu wanajf nipo dar elimu yangu kidato cha nne naomba msaada wa kuweza kunisaidia kama supermarket.duka.nappia nina uzoefu wa kazi za research 0682051729
Kwa ajili ya kusimamia duka kubwa la dawa; pia anatakiwa fundi dawa (pharm tech) na disdensing staff wengine. Wenye sifa tafadhali wanipm na wawe tayari kufanya kazi Dar au Bagamoyo
Niko Mwanza, ni mwandishi chipukizi wa vitabu vya ushairi, hadithi na articles mbalimbali, pia birthday cards,thank you cards,family cards,inspirational cards n.k.
Nahitaji web designer mmoja...
MANAGING DIRECTOR (MD)
GENERAL MANAGER. (GM)
DIRECTOR GENERAL (DG)
Mwenye kufahamu tofauti ya nafasi moja na nyingine anijuze na majukumu ya kila nafasi hizo Asanteni
Salaam Jf,
Kama Uzi unavojieleza,natafta kazi itayoningizia kipato kwa lengo la kujikwamua kimaisha,nipo kyela--Mbeya,ningefrah zaidi ikiwa ndani ya wilaya ya kyela,Asanteni.
Heshima kwenu wote.
Kijana wa kiume,umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ujuzi wa ufundi umeme wa nyumbani.
Anatafuta kazi yeyote halali iwe kwenye duka,soko,bustani,mgahawani nk
Ni kijana...
Mwaka 2012 nilihitimu diploma yangu ya ugavi na manunuzi (procurement ) kutoka Tanzania Institute of aAccountancy kama haitoshi nikajitolea kwa miaka 2.5 ili kupata uzoefu wenye kunijenga kwenye...
Wapendwa habari, mimi ni mwanamke ninaejitambua na nipo mbele yenu kuwaomba wale wote wenye uwezo wa kunisaidia nipate ajira ya kudumu serikalini.
Natamani kufanya kazi kama Mwana Maendeleo ya...
Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na...
My fellow job seekers i know your sadness and disappointments behind the scenes, it shall be well soon let's continue pushing
Everyday morning look yourself in front of the mirror and say these...
Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado.
Nina ujuzi wa computer kiasi
Nmefundisha tuition
Nimechoma chips
Nahitaji kazi yoyote naomba Wana...
Juzi tuu JKT walitangaza nafasi za kujiunga na JKT kwa mwaka 2016/2017 kwa kujitolea na kutaja sifa za mtu ambae anaweza kujiunga na jeshi ilo kwa fununu nilizonazo bara kuna baadhi ya wilaya...
Habari zenu wakuu,
Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score,
Ni nini hiyo kitu wakuu?
Ni kipimo cha hospital au?
Shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.