Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu habari mko poaaah...jamani kama kichwa Cha habari kinavojieleza ndugu zangu rafiki zangu tuliosoma wote Shule ya msingi MBARAMO wilayani muheza NIMEWAKUMBUKA SANA tukutane hapa ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba...
30 Reactions
79 Replies
6K Views
Mke wangu kwa sasa amegubikwa na pepo la uvivu. Amefikia hatua ya kufanya derivery hadi vitu vya genge/ sokoni. Anafanya derivery. Kuna kakijana ndiko ambako humletea mahitaji kutoka sokoni, baada...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia: Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!! Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo...
14 Reactions
81 Replies
7K Views
Wadau mko aje. Leo nalisasambua jukwaa nikiileta mada hii ambayo inahusu kunyimana haki ya ndoa nikimaanisha tendo lenyewe.Wanandoa walio wengine wamekuwa wakilalamika kunyimwa haki yao ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili ni jambo mara nyingi limejadiriwa humu na muda wote huo likaonekana halina utafiti na kuishia kubezwa na watu wenye wake huko maofisini. Haya sasa utafiti mliokua mnauhiyaji umefanyika na...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Wanawake shida yenu ni nini? Hawa wasimbe watawapoteza. Yaani mtu ajitafute, apate kazi, anunue kiwanja, ajenge kwa gharama na kwa ugumu, akutongoze, akulipie mahari akuoe akuweke ndani akutunze...
19 Reactions
52 Replies
3K Views
Nikisema hapa tuvue mashati, kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake, tutakimbiana jinsi kulivyo na taka, sababu mikono yetu haifiki huko katika kujisugua. Mwenye uwezo wa kukusugua ni mkeo peke...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hope your soo good every body, Leo nataka kushare na both gender, kuhusu ya vitu muhimu wakati wa kufanya mapenzi (sex).... Nikujuze tuu kuna vitu vidogo vidogo vikipuuzwa vinaweza kukuharibia...
37 Reactions
123 Replies
11K Views
Habarini wakuu! Ni mimi tena kijana wenu jamiiforums! Msione kimya niko katika harakati za utafutaji ndio zinavyotuweka katika ubize si mnajua maisha yalivyo now ni kujihagaishwa ili mkono uwende...
8 Reactions
111 Replies
6K Views
Bwana mmoja alifumania jumbe za maneno, kwa kitasha wanaita (Texts/messages) kwenye simu ya mkewe. Baada ya upelelezi akajua/akagundua kwamba kuna muhuni anatoka kimapenzi na mkewe. Vijana wa...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja ya tabia za akina mama zinazoniudhi ni urembo bandia wa kucha, nywele, kope, nyusi, makalio, nyonyo na vitakataka vingine kama hivyo. Utakuta mwanamke kaanika vipaja uchwara vyake nje...
8 Reactions
129 Replies
19K Views
Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna mama mmoja alikuja home kumtembelea wife yeye ni jirani yetu miaka ya nyuma, amekuja na mwanae wa kike ana kama mwaka mmoja hivi amemjazia shanga kiunoni alivyoulizwa na wife sababu ya...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wajumbe hamjambo? poleni na michakato ya kuzisaka. ================================== Ninadhani mmeshawahi kusikia hii dhana ya katerero.Kiukweli nimekuwa nikiifatilia sana kwani kwa mujibu wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna kasumba miongoni mwa wanawake kuwa wanapoingia kwenye mahusiano na mwanaume kuanzia hatua za awali na hata ndani ya ndoa, basi ni mwanaume pekee ndie anawajibika na gharama za maisha na si...
3 Reactions
9 Replies
653 Views
Nilikuwa nakula chakula ghafla zikaja kumbukumbu mbaya za vicheko na maneno ya kejeli ya "Hahaha... kanyooshwa", "Kwisha habari yake 'bwege' yule...", "Mshamba tu chezea wanawake wewe", "Usicheze...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
It was a beautiful day in Mbeya City, the sun was shining and the air was filled with the sweet scent of blooming flowers. I was wandering around, enjoying my break from traveling when I suddenly...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…