Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,706
Hili ni jambo mara nyingi limejadiriwa humu na muda wote huo likaonekana halina utafiti na kuishia kubezwa na watu wenye wake huko maofisini.
Haya sasa utafiti mliokua mnauhiyaji umefanyika na majibu yamesha patikana sasa kazi kwenu kumeza au kutema ila ubishi bila data hatutaki hapa.
#jishikilieni [emoji1635][emoji16]
Haya sasa utafiti mliokua mnauhiyaji umefanyika na majibu yamesha patikana sasa kazi kwenu kumeza au kutema ila ubishi bila data hatutaki hapa.
#jishikilieni [emoji1635][emoji16]