Anachokifanya mke wangu kwa sasa, na mimi nimewahi fanyiwa enzi hizo. Nitapiga niue

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Mke wangu kwa sasa amegubikwa na pepo la uvivu. Amefikia hatua ya kufanya derivery hadi vitu vya genge/ sokoni. Anafanya derivery. Kuna kakijana ndiko ambako humletea mahitaji kutoka sokoni, baada ya kukapeleleza nimegundua kuwa kana kibanda cha mbogamboga na viungo vya upishi kwenye hilo soko X

Muda mwingine huwa nafanya ambush mchana. Narejea nyumbani ghafla, the way huyo kijana anavyompokea mke wangu kwa maneno ya bashasha, moja kwa moja point inabaki kuwa ile ile, huenda hawa watu wanagegeduana tena kwa kitanda changu nilichokinunua kwa gharama ya 400k

Ama kweli muoshwa huoshwa. Enzi hizo hata mimi niliwahi isugua mbususu ya mke wa bwana mmoja mara nyingi nilivyoweza. Yaani per day nilikuwa ni lazima niwatupe wazungu, haijalishi ni kimoko ama zaidi ya kimoko.

Hio ni kwa sababu mwanaume yule alimdekeza mkeee kiasi kwamba aliniomba niwe nampelekea mkewe kitoweo nyumbani kwake kisha wanipatie pesa ya kitoweo pamoja na ya usumbufu.

Niliacha baada ya kuponea chupu chupu kwenye tundu la sindano. Siku ambayo nilimaliza gegedua mke wa mtu ndogo, ile natoka nje, niko mlangoni tu, mumewe anatokeza

Naona mke wangu naye ananiletea michezo ya Liyamba Lyamfipa. Ngoja nimalizie uchunguzi, nitaleta mrejesho
 
Badala useme na mkeo unakuja kututangazia humu
Hapana! Yeye nitasemezana naye kwa vitendo. Hapa najikaza kitoyatilia maanani maneno ya majirani. Na ndio maana nimeanza experiment rasmi. Mke wangu anashangaa ni kwanini navaa koti jeupe siku hizi kila siku, hajui niko maabara namtathmini
 
Back
Top Bottom