Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

lamaa

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
964
2,523
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
...imagine...usipojib text zangu nilishindwa kula!!
Pale uliponuna.. nilishindwa fanya chochote!!!kwa uhakika nilikua mzaifu kwako J!!!

Uliutumia udhaifu wangu kama fimbo...kwa kubebwa na biShoo mwenye pesa na gar!! Ya nyumban!! ....ooh J:.

Nadhan unakumbuka hili suala lilifanya niibe laki 1 kwa bro wangu na kujichimbia lodge siku 3 bila kula mpka nilipopata msaada wa wahudum na mlinz kwa kupatiwa maziwa ya Moto!! Ooh J!!

Nadhan nyumban kwetu hakuna ambaye hakukujua...na walikubembeleza sana japo unidanganye ili siku ziende lakin wap J!!!

Labda kwakua ulikua chuo ni msomi..nami nilkua VETA kama zumbukuku sikukufaa J!!
...lakin kwanin mwanzo ulinipenda sanaaaa!!!..pengine usingeingia katika mahusiano nami!! Yasingenikuta Yale J!!!

Ona Sasa mpka leo mkono wangu wa kushoto Nina jeraha kubwa J!!! Ni kwaajiri ya kujikata mshipa wa damu ...yaan zivuje damu mpka nife!! Lakin kwa kudra za mwenyez ...ant ako aliniwah na kuziba na mtandio wake ...ni pale nilipokupiga makofi kwenu ..kisa yule boya!!!

Ona!!!! Nilidhan labda udhaif wangu na kukosa pesa kwa uhakika nilifanya kazi baadae ili uwe wangu!! Lakin wap!!!
So unakumbuka Niliwahi kukupigia magoti stend ya bas pale Mboka manyema (Tbr) kisa waenda likizo ndefu bila kuniaga!!!ooh J:

Nilijiunga mpka na majeshi yetu!! Nikidhan labda nikiwa njagu ndan ya BAKA...utaniogopa na kurud kwangu!!!..ona Sasa vyote ninavo lakin kwako bado ni mdhaifu!!!¡!ooh Ooh J:

Ona Sasa siku hiz Nina usafiri wangu J!! Lakin sijampta kama wewe!! Bado mdhaifu tu pamoja na vyote nilivonavo!!!!..ooh J: nildhan ulipenda wenye gar na maisha mazuri!!!

N.B
Umeweka jeraha moyon kwangu J ...umeniletea uhasama mkubwa..kwa wanawake!!!!

Ata huyu mwananguu mwenye umri wa miez mitatu simpend mama ake!!!

Mpka naandika haya ..umenipigia simu Leo ukiwa ni mama wa watoto wawili ..na mmeo unasema akujali!!!... Amekuvunja mguu!!! Na kukung'oa jino moja ...kisa umemfumania hakika nimeumia mno!!! (Siitaj kujua namba yangu umeitoa wapi...ni miaka imepita lakin saut ako ipo kwenye ubongo wangu)

Hata hvo vijisent nilivokutumia ni ujitib mwenyewe kisa amegoma kutoa huduma na amepotea wiik Sasa hata simu zako hapokei!! Naumia sana!!!

Nilishakusamehe J!¡ Lakin siitaj kukuona maishan kwangu!!! Japo moyo wangu unataman %100 kukuona!!!!!......tupo mkoa mmoja J...oooh J..

Umeshakua mke wa mtu mi bado sijaoa ...lakin umepga simu moja tuu ....ya kuniomba msaada na pia nije kukuona .....moja nimetimiza lakin lapil Niko njia panda ....japo kazin nimeomba ruhusa naumwa ooh J!!!!!

Ndugu watakaonipa ushaur ..ni jamii forum pekee ...hawa Ndugu wa damu watahis nililogwa. oooh J!!!! Niko Njia panda Mama:
 
2018 yaliyonikuta siwezi kusahau toka pale I am not the same person tena. Heartbreak isikie kwa jirani tu, hapo awali nilikua najihisi ni immune to heartbreak kumbe nilikua sijapenda vizuri mpaka hiyo 2018 yaliponikuta.​
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
.
Umeandika vizuri hii script.ni nzuri aisee kutengenezea muvi
 
2018 yaliyonikuta siwezi kusahau toka pale I am not the same person tena. Heartbreak isikie kwa jirani tu, hapo awali nilikua najihisi ni immune to heartbreak kumbe nilikua sijapenda vizuri mpaka hiyo 2018 yaliponikuta.​
Pole aiseeh..!
 
Pole sana kwa hekaheka za mapenzi, wanasema muda ni tiba, bila shaka utakuwa umepona sasa.
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Pole sana mkuu. Kuwa makini tu usije ukaingia mikononi mwa mume wa J ukatonesha kidonda kilichokwisha kupona.
 
2018 yaliyonikuta siwezi kusahau toka pale I am not the same person tena. Heartbreak isikie kwa jirani tu, hapo awali nilikua najihisi ni immune to heartbreak kumbe nilikua sijapenda vizuri mpaka hiyo 2018 yaliponikuta.​
Duh!
 
Pole sana mkuu
Kuwa makini tu usije ukaingia mikononi mwa mume wa J ukatonesha kidonda kilichokwisha kupona.
Nimeshindwa kudhibit hisia zangu lakin mpka kesho nitakua na jib kamil mkuu:
 
2018 yaliyonikuta siwezi kusahau toka pale I am not the same person tena. Heartbreak isikie kwa jirani tu, hapo awali nilikua najihisi ni immune to heartbreak kumbe nilikua sijapenda vizuri mpaka hiyo 2018 yaliponikuta.​
Pole mkuu:
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom