Nawasalimu, naomba msaada au tips za jinsi mnavyopata wenzi wa kudumu nao kimahusiano. Kwangu imekua changamoto ya kudumu, mahusiano ya mwisho yamedumu kwa miaka mitat, yamepepea kama mchanga...
Salaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za...
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?
Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?
Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka...
Habari wana jukwaaa
Nikienda katika mada mie nawagawa wanawake na wanaume makundi matatu
1. Ngono ni sehemu ya maisha yao
2. Ngono ni starehe kwao
3. Ngono haina ulazima kwao
Kabla ya kuowa...
Mimi ni kijana wa kiume umri yapata miaka 30 sasa. Mimi si mtumiaji sana wa Jamii forum ila nilijiunga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali. Lakini mwaka huu nimebahatika kupata ajira serikalini...
Wadau nina kisa kimoja ivi huwa najilaumu sana nilichezea bahati kweli Golden chance never come twice nakumbuka kipind nafanya kazi kwenye shirika moja iv kigoma nilikuwa na boss wangu mmoja iv...
Unaweza ukawa n mwanamke flan ivi mwenye mvuto na mpambanaji lakin kila siku unaachika bila sababu za msingi.
Umeshawahi kujiuliza sababu n nn,au ndio unajiona huna bahati.
Mwanaume anaweza...
Salaam enyi watu wa Mungu, bwana weeh mi nna mshikaji wangu mmoja,ni rafiki haswa tangu huko shule ya sekondari miaka takribani miaka kumi,hivyo tunaelezana mambo mengi tu binafsi.
Sasa siku ya...
Naomba msaada wadau,
Nikikuwa na mazoea na dada mmoja hivi alikuwa ni mgeni kwa mtaa wetu
Kama miezi miwili hivi tunafahamiana alikuwa ana fanya kazi, karibu na ofisini kwangu vyumba vimefatanaa...
27th April niliamua kumbananisha kwa ukuta binti mmoja mwenye 23 yrs, tako mbudule, ka nane fulani hivi kwenye nyonga na weusi wa mzeituni. Bila kuchelewa nikaanza kukafungukia ya moyoni, hakakuwa...
Habari za leo wadau
Huyu dada ni jirani yangu hapa ninipo ishi. Dada mmoja mlokole, yani ukisikia mlokole mlokole kweli anatembelewa na wenzake karibu wiki nzima wanasoma neno la bwana na kuanza...
Habari za muda huu wanajf, natafuta mpenzi jinsi ke mimi ni jinsia me awe na sifa zifuatazo
1.Awe mrefu kiasi
2.Umri kuanzia 23-27
3.Dini awe muislam
4.Awe anapatikana Morogoro
5.Asiwe na mtoto...
Tunakutana na changamoto mbalimbali katika maisha, pia katika utafutaji wa maisha tunapitia nyakati ngumu tofauti tofauti, zipo nyakati za kuumiza mioyo yetu, zipo nyakati za aibu, nyakati za...
Habari wakuu,
Kuna binti kutokea huko kaskazini tumetokea kupendana. Licha ya kuwa mzuri wa mwili, sura na matendo, ana kasoro moja tu ya kukeketwa
Tofauti na wanawake wengine niliowahi kuwa...
Nadhani wakuu mlifuatilia uzi wangu, nilioomba ushauri baada kukubali kukiri mbele ya mshenga kosa kabumbu la kutembea na shemeji yangu nikijua naokoa ndoa
Baada ya kusikiliza maoni ya Wadau...
Wanajukwaa hiii imeeeeeeeenda.
Imekuwa ikizungumzwa kwamba mawifi hawapatani.Naukipitia uzoefu wa kaya 2-3 jirani yako hapo utagundua hili.Lakini cha kujiuliza shida nini? Yaani Katika familia...
Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo...
Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure.
Jichunguze kasoro zako sehemu hizi...