mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana jukwaaa
Nikienda katika mada mie nawagawa wanawake na wanaume makundi matatu
1. Ngono ni sehemu ya maisha yao
2. Ngono ni starehe kwao
3. Ngono haina ulazima kwao
Kabla ya kuowa lazima umuangalie mwanamke unaetaka kumuowa yuko kundi gani na jeee munaendana sambamba kama muko makundi tofauti basi hio ndoa ama mahusiano hayo ni ngumu kusonga mbele labda kuwe na mchepuko pembeni
Mfano mimi niko kundi namba 1 ila mama watoto wangu yuko kundi namba 3 basi napata tabu sana hadi najisikia tabu sasa kwa kua dini inaniruhusu nataka niende kwenye jukwaa la Love Connect nipate mtu wa kundi no 1 mwenzangu nikikosa japo namba 2.
Ushauri wenu utazingatiwa
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app