Wanajukwaa hiii imeeeeeeeenda.
Imekuwa ikizungumzwa kwamba mawifi hawapatani.Naukipitia uzoefu wa kaya 2-3 jirani yako hapo utagundua hili.Lakini cha kujiuliza shida nini? Yaani Katika familia nyingi lazima mawifi watibuane na hata kuzichapa.Sasa ninachojiuliza ni wivu?kama ni wivu wanini?
=============================
Tunapochonga hapa kuna nyumba mtaa wa pili hapa kimewaka balaa.Kisa eti dada mtu kamkuta mwamba anadeki huku wifimtu(mke wa jamaa)anaangalia movie.Sasa nikasema si wangeyajenga tu yeye anadai eti imekuwa mazoea kumoana kaka yake akifanyishwa kazi za ndani ilhal mke anakula good tu.
"Yaani siwezi kukubali kila nikija hapa Kaka yangu namkuta mara anaosha vyombo,anadeki ,anapika,anaogesha watoto wifi namkuta yupo tu anachat hat salamu hakuna "(Ilisikika sauti kutoka kwa huyo wifi lakee)
SASA WAJUMBE WENZANGU HEBU TUPEANE UZOEFU NINI CHANZO CHA UHASAMA BAINA YA HAWA WADAU?