Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana, miaka 27. Ninaishi na kufanya kazi mkoani nyanda za juu kusini huku. Nina kazi nzuri na vibiashara vya hapa na pale vya kuniweka mjini. Nilikua na malengo mengi sana na swala la...
6 Reactions
128 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu, Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama. Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa...
10 Reactions
170 Replies
17K Views
How much of an age gap in a relationship is too much? Age gaps in relationships have been a topic of curiosity and discussion for ages. People often wonder how much of an age difference is too...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari zenu, Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu Salaam. Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM. Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote...
8 Reactions
14 Replies
996 Views
Hizi ni nyuzi special kuelezea akili za mtu mweusi, naanzia hapa. Akili za mtu mweusi season1. ep 01 :  Kuchangishana pesa kwenye raha binafsi za watu( hizi wanaita sherehe za harusi, ubatizo...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya: Wajenzi wa nyumba Wachimbaji wa madini Wavuvi Mafundi gereji Mafundi simu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari tajwa nilikua na mahusiano na mke wa mtu aliye mkimbia mume miez kadhaa sasa bhana na mimi kanikimbia karudi kwa mume wake sasa kila nawaza kumtoa kichwani hatoki...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu wote tunajiskia vibaya tunaumizwa na mapenz na maisha kwa ujumla, hebu tusaidiane nini cha kufanya kutuliza huzuni?
0 Reactions
34 Replies
11K Views
PSYCHOLOGY: SAIKOLOJIA ISHARA 7 KUWA MKEO ANAHITAJI UMSIKILIZE Wakati fulani kitu pekee ambacho mwanamke anakihitaji ni mtu wa kumsikiliza. Njia maridhawa ya kumsaidia mkeo katika matatizo yake...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Hivi Kuna ukweli kuwa wanawake wa kimaasai hudumu katika ndoa?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, sihitaji kuonewa huruma na mwanamke Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja ikabidi nianze kuwafukuzia sana ili atakae jaa nichomoke naye kimaisha. Binti mmoja alikua...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa kiasi kikubwa hili jambo, kimsingi limepitwa na wakati. Watu kuumizana kihisia,wengine kupoteza maisha. Kuna gharama ya fedha na muda katika jambo hili. Wengine huingiamo kwa ajili ya...
12 Reactions
64 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Usikate tamaa kwenye maisha hata kama unapitia magumu kiasi gani, simama tena jikaze na songambele, usiogope kuanza upya haya matatizo unayopitia leo ipo siku yatakuwa ni kama historia. Usimkufuru...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x). Ndugu yetu huyu (x) amekuwa na tabia ya kulalamika kuwa Hali...
24 Reactions
156 Replies
8K Views
Kama mwanamke wako amewahi kukupa mojawapo ya maneno haya, unatakiwa kujitafakari. "Usifikiri sitongozwi...nakuheshimu tu!" " Usidhani nakuogopa, nakuheshimu... " " Hata mimi naweza kufanya...
22 Reactions
87 Replies
8K Views
Habar za leo wana JF, Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano. Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na...
19 Reactions
97 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…