Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,338
Wakuu,
Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, sihitaji kuonewa huruma na mwanamke
Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu
Mwanamke ambaye atahesabu amepata bingo kuwa na mimi, sio mwanamke ntaehitaji kutumia nguvu kumuomba abaki na mimi