Msaada ni muda gani sahihi wa kumvalisha Pete ya Uchumba?

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,726
15,761
Wanajukwaa habari zenu,

Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa.

Swali nimvalishe pete siku ya kutoa mahari au nitafute siku ingine special?

Nisaidieni hili wakuu
 
mvishe siku hiyo hiyo ya mahari
 
Wanajukwaa habari zenu,

Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa.

Swali nimvalishe pete siku ya kutoa mahari au nitafute siku ingine special?

Nisaidieni hili wakuu
Kama uchumi na muda vinaruhusu tenganisha matukio ...kama imebana piga two in one hakuna ubaya kabisa
 
Back
Top Bottom