Dave official
Member
- Jul 27, 2022
- 38
- 91
Hivi Kuna ukweli kuwa wanawake wa kimaasai hudumu katika ndoa?
Kwao ndoa ni sheria sio takwa la kibinadamu..na muathirika mkubwa ni mwanamke sababu akishawekwa kwenye mji hata mwanaume apotee miaka mitano kwa wanawake wengine yeye hatoki pale.Iv Kuna ukweli kuwa wanawake wa kimaasai hudumu katika ndoa?
Duuh!!Kwao ndoa ni sheria sio takwa la kibinadamu..na muathirika mkubwa ni mwanamke sababu akishawekwa kwenye mji hata mwanaume apotee miaka mitano kwa wanawake wengine yeye hatoki pale.
Wakiwaondoa hawazai?Kweli, ila inabidi wawakekete kuondoa ny***g.